Ukurasa wa mwanzoPromosheniPromosheniBUKUA NA USHINDE – ARUSHA

BUKUA NA USHINDE – ARUSHA

Description

Tukiwa katika uzinduzi wa BUKUA NA USHINDE leo katika shule ya sekondari mringa iliyoko Arusha Mjini tukiambatana na mgeni rasmi mheshimiwa Jerry Muro Mkuu wa wilaya Arumeru akitoa zawadi kwa wanafunzi wetu 100 bora kutoka shule 27 za sekondari Arusha mjini.

Details