BUKUA NA USHINDE – KISARAWE

Description

Kampeni ya BUKUA NA USHINDE imezinduliwa rasmi na mheshimiwa @jokatemwegelo wilaya ya kisarawe ambapo wanafunzi vinara 100 kutoka kisarawe walialikwa na kupata zawadi, wiki ijayo tunakiamsha Ilala. VIDEO:

Details