ZOLA Electric

PUNGUZA
GHARAMA
ZAKO ZA
NISHATI

NISHATI SAFI, YA KUAMINIKA KWA MATUMIZI
YA NYUMBANI NA KWENYE BIASHARA

ZOLA FLEX

ZOLA FLEX ni MTAMBO JANJA WA NISHATI wa kwanza wa “Funga & Tumia” ambao unakuwezesha kutumia na kuchaji vifaa vyako muhimu bila jitihada nyingi wakati umeme wa gridi ya taifa unapokatika. ZOLA FLEX inafanya hivyo kwa kuhifadhi nishati ya jua iliyozalishwa, umeme wa gridi ya taifa na nishati iliyozalishwa kutoka kwenye jenereta katika betri zake imara na madhubuti za lithiamu-ion zinazofahamika kama Boksi la Nishati la FLEX.

Nishati iliyohifadhiwa inajazwa kupitia moja kati ya vyanzo vitatu – jua, umeme wa gridi ya taifa au jenereta – Kipaumbele ikiwa ni nishati ya jua kwani inapatikana bure isipokuwa wakati wa usiku ambapo huwa haipatikani. Nishati hii iliyohifadhiwa itatumika kuwezesha utumiaji wa vifaa utakavyotaka. Nishati iliyohifadhiwa katika Boksi inaweza kudumu usiku kucha kutegemeana na kiwango cha nishati kinachotumika na muda wa kutumika kwa vifaa.

ZOLA FLEX POWER 1

Mtambo huu wa ZOLA FLEX utawezesha matumizi ya vifaa vyako vya msingi kama TV, kingamuzi, vifaa vinavyotumia WiFi, feni, redio na vyombo vya muziki. Unakuja na inveta ambayo inatoa umeme wa mkondo geu(AC) utakaochaji vifaa vyako vinavyotumia umeme wa mkondo geu(AC).

MUDA WA MATUMIZI
Wastani wa masaa 3-4 wakati unachaji vifaa vinavyotumia umeme wa mkondo geu(AC) wakati wa usiku kwa uwezo endelevu wa kiwango cha juu cha 65W. Muda wa matumizi ni mrefu kwa wastani wa masaa 5 -7 unapochaji vifaa vyako ambavyo sio vya ZOLA wakati wa mchana au kuchaji vifaa vya ZOLA ambavyo vinatumia kiwango kidogo cha nishati.

Sehemu kuu za mtambo ni pamoja na:

SEHEMU KUU ZA MTAMBO WA FLEX
– 1x Boksi la nishati la FLEX lenye uwezo wa 240Wh unaohifadhiwa kwenye betri zake za Lithiamu-ion na kioo cha mtumiaji(user interface)

SEHEMU NYINGINE  ZA MTAMBO WA FLEX
– 1x Paneli ya Jua ya FLEX  – 80W
– 1x Inveta ya FLEX – yenye uwezo uliopendekezwa wa kuwezesha matumizi ya 55W na 65W kama uwezo wa kiwango cha juu kabisa. Inakuja na plagi 1 ya umeme wa mkondo geu(AC) yenye matundu 4 ya USB.
– 1x Splita ya FLEX ambayo inawezesha vyanzo vingi vya kuchaji.
– 1x Chaja ya FLEX ya umeme wa gridi ya taifa – 90W AC charger.
– 1x Chaja ya USB ya FLEX inayo wezesha kuchaji simu, tableti n.k.

VIFAA VYA ZOLA
– 3x Taa ya bomba(tube light) ya ZOLA yenye Lumens 300 pamoja na swichi.
– 2x Balbu ya ZOLA yenye Lumens 100  pamoja na swichi.

VIFAA VYA ZIADA VYA ZOLA
– ZOLA 24” TV
– ZOLA 32” TV.
– Kifaa kingine chochote utakachopenda cha ZOLA.

OMBA NUKUU YA BEI

ZOLA FLEX PLUS 32″ TV

Mtambo wa ZOLA FLEX unatoa suluhisho la kutosha kwa matumizi ya kila siku wakati umeme wa gridi ya taifa umekatika. Unawezesha taa kuwaka usiku kucha, kuchaji simu na matumizi ya feni. Mtambo huu unaweza kuchaji vifaa vya ZOLA tu.

MUDA WA MATUMIZI
Masaa 6-8 kwa matumizi ya sehemu za msingi za mtambo. Muda huu unapungua unapotumia vifaa vya ziada kama TV ya ZOLA 32inch kwakua nishati itakuwa inatumika zaidi ya kiwango cha kawaida.

Sehemu kuu za mtambo ni pamoja na:

SEHEMU KUU ZA MTAMBO
Boksi la nishati la FLEX lenye uwezo wa 240Wh unaohifadhiwa kwenye betri zake za Lithiamu-ion na kioo cha mtumiaji(user interface)

SEHEMU NYINGINE  ZA MTAMBO WA FLEX
–  1x Paneli ya Jua ya FLEX  – 80W
– 1x ZOLA 32’’ TV
– 1x Chaja ya USB ya FLEX inayo wezesha kuchaji simu, tableti n.k.
– 1x ZOLA Redio

VIFAA VYA ZOLA
– 1x Taa ya bomba(tube light) ya ZOLA yenye Lumens 300 pamoja na swichi.
– 4x Balbu ya ZOLA yenye Lumens 100  pamoja na swichi.

VIFAA VYA ZIADA
– 1x Inveta ya FLEX – yenye uwezo was kuendesha vifaa vidogo vya umeme wa geu (AC)

OMBA NUKUU YA BEI

ZOLA FLEX PLUS 24″ TV + FAN

Mtambo wa ZOLA FLEX unatoa suluhisho la kutosha kwa matumizi ya kila siku wakati umeme wa gridi ya taifa umekatika. Unawezesha taa kuwaka usiku kucha, kuchaji simu na matumizi ya feni. Mtambo huu unaweza kuchaji vifaa vya ZOLA tu.

MUDA WA MATUMIZI
Masaa 10 -15 kwa matumizi ya sehemu za msingi za mtambo. Muda huu unapungua unapotumia vifaa vya ziada kama TV ya ZOLA 24inch kwakua nishati itakuwa inatumika zaidi ya kiwango cha kawaida.

Sehemu kuu za mtambo ni pamoja na:

SEHEMU KUU ZA MTAMBO
Boksi la nishati la FLEX lenye uwezo wa 240Wh unaohifadhiwa kwenye betri zake za Lithiamu-ion na kioo cha mtumiaji(user interface)

SEHEMU NYINGINE  ZA MTAMBO WA FLEX
– 1x Paneli ya Jua ya FLEX  – 80W
– 1x ZOLA 24’’ TV
– 1x Chaja ya USB ya FLEX inayo wezesha kuchaji simu, tableti n.k.
– 1x ZOLA Feni
– 1x ZOLA Redio

VIFAA VYA ZOLA
– 1x Taa ya bomba(tube light) ya ZOLA yenye Lumens 300 pamoja na swichi.
– 4x Balbu ya ZOLA yenye Lumens 100  pamoja na swichi.

VIFAA VYA ZIADA
– 1x Inveta ya FLEX – yenye uwezo was kuendesha vifaa vidogo vya umeme wa geu (AC)

OMBA NUKUU YA BEI

ZOLA FLEX PLUS 24″ TV

Mtambo wa ZOLA FLEX unatoa suluhisho la kutosha kwa matumizi ya kila siku wakati umeme wa gridi ya taifa umekatika. Unawezesha taa kuwaka usiku kucha, kuchaji simu na matumizi ya feni. Mtambo huu unaweza kuchaji vifaa vya ZOLA tu.

MUDA WA MATUMIZI
Masaa 10-12 kwa matumizi ya sehemu za msingi za mtambo. Muda huu unapungua unapotumia vifaa vya ziada kama TV ya ZOLA 24inch kwakua nishati itakuwa inatumika zaidi ya kiwango cha kawaida.

Sehemu kuu za mtambo ni pamoja na:

SEHEMU KUU ZA MTAMBO
Boksi la nishati la FLEX lenye uwezo wa 240Wh unaohifadhiwa kwenye betri zake za Lithiamu-ion na kioo cha mtumiaji(user interface)

SEHEMU NYINGINE  ZA MTAMBO WA FLEX
– 1x Paneli ya Jua ya FLEX  – 80W
– 1x ZOLA 24’’ TV
– 1x Chaja ya USB ya FLEX inayo wezesha kuchaji simu, tableti n.k.
– 1x ZOLA Redio

VIFAA VYA ZOLA
– 1x Taa ya bomba(tube light) ya ZOLA yenye Lumens 300 pamoja na swichi.
– 4x Balbu ya ZOLA yenye Lumens 100  pamoja na swichi.

VIFAA VYA ZIADA
– 1x Inveta ya FLEX – yenye uwezo was kuendesha vifaa vidogo vya umeme wa geu (AC)

OMBA NUKUU YA BEI

ZOLA FLEX 19″ TV

Mtambo wa ZOLA FLEX unatoa suluhisho la kutosha kwa matumizi ya kila siku wakati umeme wa gridi ya taifa umekatika. Unawezesha taa kuwaka usiku kucha, kuchaji simu na matumizi ya feni. Mtambo huu unaweza kuchaji vifaa vya ZOLA tu.

MUDA WA MATUMIZI
Masaa 4-6 kwa matumizi ya sehemu za msingi za mtambo. Muda huu unapungua unapotumia vifaa vya ziada kama TV ya ZOLA 19inch kwakua nishati itakuwa inatumika zaidi ya kiwango cha kawaida.

Sehemu kuu za mtambo ni pamoja na:

SEHEMU KUU ZA MTAMBO
Boksi la nishati la FLEX lenye uwezo wa 120Wh unaohifadhiwa kwenye betri zake za Lithiamu-ion na kioo cha mtumiaji(user interface)

SEHEMU NYINGINE  ZA MTAMBO WA FLEX
– 1x Paneli ya Jua ya FLEX  – 40W
– 1x ZOLA 19’’ TV
– 1x Chaja ya USB ya FLEX inayo wezesha kuchaji simu, tableti n.k.
– 1x ZOLA Redio

VIFAA VYA ZOLA
– 1x Taa ya bomba(tube light) ya ZOLA yenye Lumens 300 pamoja na swichi.
– 4x Balbu ya ZOLA yenye Lumens 100  pamoja na swichi.

VIFAA VYA ZIADA
– 1x Inveta ya FLEX – yenye uwezo was kuendesha vifaa vidogo vya umeme wa geu (AC)

OMBA NUKUU YA BEI

ZOLA FLEX Lights

Mtambo wa ZOLA FLEX unatoa suluhisho la kutosha kwa matumizi ya kila siku wakati umeme wa gridi ya taifa umekatika. Unawezesha taa kuwaka usiku kucha, kuchaji simu na matumizi ya feni. Mtambo huu unaweza kuchaji vifaa vya ZOLA tu.

MUDA WA MATUMIZI
Masaa 4-10 kwa matumizi ya sehemu za msingi za mtambo. Muda huu unapungua unapotumia vifaa vya ziada kama kuchaji Redio, kwakua nishati itakuwa inatumika zaidi ya kiwango cha kawaida.

Sehemu kuu za mtambo ni pamoja na:

SEHEMU KUU ZA MTAMBO
Boksi la nishati la FLEX lenye uwezo wa 120Wh unaohifadhiwa kwenye betri zake za Lithiamu-ion na kioo cha mtumiaji(user interface)

SEHEMU NYINGINE  ZA MTAMBO WA FLEX
– 1x Paneli ya Jua ya FLEX  – 40W
– 1x Chaja ya USB ya FLEX inayo wezesha kuchaji simu, tableti n.k.
– 1x ZOLA Redio

VIFAA VYA ZOLA
– 1x Taa ya bomba(tube light) ya ZOLA yenye Lumens 300 pamoja na swichi.
– 3x Balbu ya ZOLA yenye Lumens 100 pamoja na swichi.