ZOLA Electric

UMEME POPOTE

Kwa kubuniwa Marekani, bidhaa za ZOLA Electric zimetengenezwa kutoa nishati safi masaa 24 popote.

 

OFA

ZOLA FLEX ni mtambo wa kuchomeka na kutumia, uliounganishwa, unaohifadhi umeme ambao unanunuliwa kwa kiasi kidogo cha elfu 30 kwa mwezi. Kwa kutumia miundo bora ya ubunifu na ufanisi wa hali ya juu, ZOLA FLEX inawezesha vifaa vyako vya misingi kwa masaa 24 ya siku kwa bei ambayo kila mtu anweza kuimudu.

Ikiwa imeundwa Marekani, ZOLA FLEX haiharibu ya ubora licha ya bei zake kua rahisi. Kila mtambo una betri imara ya lithium iliyoundwa kustahimili matumizi mara elfu moja na zimethibitishwa kimataifa kua salama na ya kuaminika.

KUJUA ZAIDI OMBA NUKUU YA BEI