Usambazaji

Tunatafuta wasambazaji wa bidhaa zetu

ZOLA – Iliundwa California na kuanzishwa Afrika ikiwa na lengo la kuwezesha upatikanaji wa nishati safi, nafuu na ya kuaminika kwa watu wote, popote.

Zola imepanua huduma zake katika masoko kutoka kwenye kutoa huduma za mwanga tu nyumbani hadi kutoa mfumo kamili wa nishati ya jua nyumbani na sasa tunawezesha sio tu utumiaji wa vifaa vya nyumbani visivyo vya sola bali hata matumizi ya nishati kwenye maeneo ya biashara. 

Jiunge na ZOLA
kuleta mabadiliko chanya

Kwa bidhaa za nishati ya jua zinazotumika nyumbani na kwenye eneo la biashara zenye ubora wa hali ya juu ambazo zinatoa huduma ya kipekee ya NISHATI SAA 24 ili kudumisha faraja kwenye maisha na biashara.

Kwanini ujiunge na ZOLA

MAFANIKIO YETU

Msaada wa uwezeshaji kwa wasambazaji katika hatua zote unaotokana na mafunzo kabambe yanayotolewa pamoja na vifaa vya kutangazia sambamba na kuwezesha uuzaji.

UHAKIKA WA UBORA

Warantii ya huduma kwa miaka 5 na usaidizi wa ziada.

MASHARTI RAHISI YA BIASHARA

Ongeza mapato na upate faida kubwa kwa kuweka bei nzuri na hautakuwa na mashaka ya kushindwa na washindani wako.

Expansion to new markets

Expand your consumer goods products portfolio and increase your availability.

Washirika Wetu

Wawekezaji na washirika wa kibiashara wa ZOLA Electric ni pamoja na

Kuwa msambazaji wetu sasa