kuwa msambazaji

Jiunge na
ZOLA

Jiunge na jamii ya wajasiriamali wa umeme wa jua ili uwapatie wateja wako umeme safi, nafuu na wa kuaminika kupitia teknolojia ya huduma za umeme wa jua ya ZOLA.

Tafuta wasambazaji karibu yako

Faida za kuwa mshirika wa ZOLA

  • Matokeo halisi 
    Wasambazaji wanawezeshwa katika hatua zote kupitia mafunzo na vifaa vya kutangazia.
  • Uhakika wa ubora
    waranti ya huduma kwa miaka 5 na msaada wa ziada
  • Masharti rahisi ya biashara 
    Ongeza mapato na pata faida kubwa zaidi kwa kuuza bidhaa zako kwa bei nzuri na kamwe hautakuwa na hofu ya kupitwa kibiashara na washindani wako..

Chagua aina ya ushirika ili kufikia malengo yako

Jiunge kuwa msambazaji wa bidhaa za ZOLA ili uweze kuuza mitambo ya kisasa inayotoa huduma madhubuti

Jiunge kama muuzaji wa bidhaa za ZOLA ili kuongeza mapato na kupata faida kubwa zaidi kwa kupanua wigo wa bidhaa zako.

Wajasiriamali wetu wa kike wameweza kukuza mapato yao kutokana na kamisheni nzuri wanayoipata kwa kuuza mitambo bora na imara inayopendwa kwenye soko la bidhaa za sola nchini Tanzania.

Joachim Mkao

PROGRAM MANAGER,

SOLAR SISTERS