Instagram
  • unatembea na sanitaiza yako au unagongea kwa washkaji? #handsanitizer #covid19 #tanzania🇹🇿 #staysafe
  • Epuka misongamano isiyo ya lazima kwani unaweza kuendelea kupata huduma za ZOLA kupitia simu yako ya mkononi.  Vita dhidi ya #covid19 #tanzania🇹🇿
  • Kumbuka, ufanisi wa mtambo wako huongezeka kwa kuhakikisha paneli yako ni safi na haina vumbi na matope ili kiruhusu mwanga wa kutosha, unaweza ukaosha paneli yako mara 1 kwa mwezi kwa kitambaa na maji safi bila sabuni.
#umeme #tanzania #solarpanels #water #zolainogile #bukuanaushinde
  • Ndugu na rafiki tafadhali jitaidi kufata hatua hizi chache kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona #corona #tanzania🇹🇿 #afyayako
  • TUNGEPENDA KUKUA NA WEWE
Kampuni ya ZOLA Tanzania ingependa kuwatangazia watanzania wote kua tunahitaji wasambazaji na mawakala wakuu katika mikoa ya #Kigoma, #Mwanza, #Shinyanga, #Katavi na #Rukwa.

Uongozi wa ZOLA Tanzania utashirikiana na msambazaji katika nyanja za matangazo na mafunzo kuhakikisha unafanikiwa katika biashara yako.

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 10-April-2020.

Maombi yote yatumwe kwa

MKURUGENZI MTENDAJI -ZOLA AFRIKA MASHARIKI
Offgrid Electric Tanzania Limited (ZOLA)
P.O Box 1100,
Arusha Sekei ST, Plot 44,
Tanzania
  • Tukiwa katika uzinduzi wa BUKUA NA USHINDE leo katika shule ya sekondari mringa iliyoko Arusha Mjini tukiambatana na mgeni rasmi mheshimiwa @jerrymuro1980 mkuu wa wilaya Arumeru akitoa zawadi kwa wanafunzi wetu 100 bora kutoka shule 27 za sekondari Arusha mjini.  #bukuanaushinde #tagnaushi de #zolainogile

Tu-follow

Fast contact
Please enter your name.
Please enter your message.
Your message successfully sent.
Something went wrong. Your message was not send.
Support

24/7 Support
+ (852) 5555-168-1792

Location

USA, Boston - 2570
Str. Second Avenue 3

© 2018 Transportion & Logistics Theme by Enovathemes / All rights reserved