ZOLA Flex

Mtambo wa sola
unaohifadhi
nishati ya jua

ZOLA FLEX

ZOLA FLEX ni mtambo wa kisasa wa nishati jua ulio rahisi kuunganisha, kwa kutumia teknolojia ya hali ya juu na vifaa vyenye ufanisi zaidi. ZOLA FLEX inaweza kuwasha vifaa vyako vya msingi kwa masaa 24 kwa bei ambayo mtu yeyote anaweza kumudu.

ZOLA FLEX Inazalisha umeme safi wa jua kutoka kwenye paneli zinakuja na mtambo bila gharama ya ziada.

Sifa za ZOLA FLEX

ZOLA FLEX imeundwa Marekani, ikiwa na ubora wa hali ya juu inayouzwa kwa gharama nafuu. Kila mtambo wa ZOLA FLEX una betri imara ya lithiamu inayodumu kwa muda mrefu zaidi.

Chaguo Sahihi

Inazalisha nishati safi ya jua mara tu inapofungwa bila gharama za ziada kupitia paneli zake imara za jua.

Huduma za kisasa

Mitambo ya ZOLA Flex inatumia mfumo wa GSM hivyo kuwezesha huduma kutolewa kupitia mtandao.

Muundo wa kisasa

Ni mtambo wa kufungwa na kutumiwa ambao hauhusiani na mfumo wa waya za gridi ya umeme wa taifa katika nyumba.

Muonekano

BETRI ZA ZOLA

ZOLA FLEX Meterbox

Boksi la nishati la Flex lenye betri za Lithium-ion zenye uwezo wa 260Wh.

Boksi la nishati la Flex lenye betri za Lithium-ion zenye uwezo wa 130Wh.

mitambo ya

ZOLA FLEX

ZOLA FLEX 19" TV

ZOLA FLEX PLUS 24" TV

ZOLA FLEX PLUS 32" TV

Jiunge kuwa msambazaji wa ZOLA FLEX

Jiunge kuwa msambazaji wa bidhaa bora za ZOLA Flex katika eneo lako