M-Series

Mtambo wa sola
unaohifadhi
nishati ya jua

ZOLA M-SERIES

Mambo imara na nafuu wa nishati ya jua ulioundwa kwa Betri za Lithiamu zinazodumu mara mbili ya betri za kawaida.

Kila mtambo wa ZOLA FLEX una betri imara ya lithiamu ilnayodumu kwa muda mrefu zaidi.

Sifa za ZOLA M-SERIES

Mitambo ya ZOLA FLEX ambayo iliyoundwa katika jimbo la California, ina ubora wa hali ya juu licha ya kuuzwa kwa bei nafuu. Kila mtambo wa ZOLA FLEX una betri imara ya lithiamu-ion iliyoundwa kuweza kudumu kwa maelfu ya mizunguko na ilijaribiwa kwenye viwango vya kimataifa vya usalama na uaminikaji (international safety and reliability standards)

Chaguo sahihi

Inazalisha nishati safi ya jua mara tu inapofungwa bila gharama za ziada kupitia paneli zake imara za jua.

Huduma za kisasa

Mitambo ya ZOLA inatumia mfumo wa GSM hivyo kuwezesha huduma kutolewa kupitia mtandao.

Muundo wa kisasa

Ni mtambo wa kufungwa na kutumiwa ambao hauhusiani na mfumo wa waya za gridi ya umeme wa taifa katika nyumba.

mitambo ya

ZOLA M-SERIES

ZOLA TV PLUS 32"

ZOLA TV PLUS 24"

ZOLA TV 19"

ZOLA LIGHT PLUS

ZOLA LIGHT

Jiunge kuwa msambazaji wa ZOLA M-SERIES

Sambaza wa bidhaa bora za M-series katika eneo lako