Bidhaa za zola

UMEME POPOTE

ZOLA Electric ni kampuni ya nishati jua inayoongoza barani Afrika, inayowawezesha wateja kupata umeme umeme safi, wa bei rahisi na wa kuaminika kwenye nyumba na biashara zao masaa 24 mahali popote.

ZOLA FLEX ni mtambo wa kisasa wa nishati jua ulio rahisi kuunganisha, kwa kutumia teknolojia ya hali ya juu na vifaa vyenye ufanisi zaidi. ZOLA FLEX inaweza kuwasha vifaa vyako vya msingi kwa masaa 24 kwa bei ambayo mtu yeyote anaweza kumudu.

ZOLA FLEX Inazalisha umeme safi wa jua kutoka kwenye paneli zinakuja na mtambo bila gharama ya ziada.

Mitambo imara, ya uhakika na ya bei nafuu ya umeme wa jua nyumbani iliyoundwa kwa betri za Lithium Ion ambazo zinadumu mara mbili ya uwezo wa betri za kawaida.