ZOLA Electric

Timu ya ZOLA ina wataalamu wakongwe katika sekta ya teknolojia, mashirika ya mawasiliano ya simu n.k. Tunatangaza nafasi zote za kazi zilizo wazi katika ukurasa huu au kurasa za washirika wetu katika soko tunalolihudumia.

Kama utapenda kujiunga na Timu ya ZOLA, tafadhali tembelea ukurasa huu mara kwa mara. Tunaomba radhi kuwa hatupokei barua za maombi ya kazi au CV bila nafasi ya kazi kutangazwa

LinkedIn