ZOLA Electric

UMEME
POPOTE

Nishati Safi, Nafuu na ya Kuaminika Popote

ZOLA Electric ilianzishwa mwaka 2012 kwa lengo la kutoa nishati safi, nafuu na ya kuaminika kwa watu wote. Zaidi ya watu billion moja ulimwenguni bado hawana umeme – idadi kubwa zaidi ya pale Edison alipowasha taa ya umeme ya kwanza. Watu wengine billioni moja hawawezi kutegemea usambazaji wa vyanzo vyao vya umeme, vyenye kupanda na kushuka, na mkatiko wa muda mrefu unaovuruga biashara na maisha yao.

 

 

ZOLA inaunda mitambo  ya nishati ya jua mizuri na ya kuaminika iliyobuniwa mahsusi ili kufanya kazi kwenye maeneo yaliyo  na umeme wa kusuasua na yasiyokua na umeme kabisa.Hii mitambo inawawezesha wateja wetu kutengeneza, kuhifandhi na kusimami matumizi yake ya nishati kwa masaa 24, ikiwafanya wawe huru na kuepuka nishati isiyoaminika.Mitambo ya ZOLA ni ya viwango vya juu na ni rahisi kutumia, hivyo humuwezesha mteja kutatua matatizo yake yoyote ya nishati mahali popote.

 

 

Suluhisho la ZOLA linaunganisha mabadiliko ya kitekinolojia na usawa wa mabadiliko ya mtindo  wa kufanya biashara. Mfumo wa malipo ya awali umetengenezwa katika mitambo yote ya ZOLA, ikiwawezesha wateja wetu kununua muda wa ziada kwa pesa watakazo zipata. Kama vile  simu za mkononi zilivyo zivuka simu za mezani, ZOLA inamwezesha mteja wetu kuvuka nishati ya gridi ya taifa.

ZOLA Flex ni mtambo wa kisasa wa kuchomeka na kutumia. Imeundwa mahsusi kuwezwsha vifaa vyako vya msingi na biashara ndogondogo.Inafanya kazi visuri panapo an pasipo na gridi ya taifa.

ZOLA Flex inakuja kama kifurishi chenye taa za LED zenye  ufanisi wa hali ya juu ambazo hazihitaji fundi wa umeme wala nyaya za umeme.

KUJUA ZAIDI OMBA NUKUU YA BEI

KEKNOLOGIA ANZILISHI
Wakandarasi na wabunifu kutoka Apple, Tesla, Fitbit na MIT wnafanya kazi pamoja ZOLA ili kuendeleza suluhu zenye mafanikio kwa chaganmoto za upatikanaji wa nishati duniani.

WATUMIAJI MILIONI 1 IMARA
Zaidi ya watu milioni 1 kwenye nchi tano wanaitegemea ZOLA kuwapatia mwanga.

WASHITIKI WA KIWANGO CHA JUU
Tesla, General Electric, Total, EDF, DBL Patners na Helios Partners ni wawekezaji na washiriki.